SWAHILIZONE ni jukwaa linalokupa fursa ya kuwafundisha watu kutoka nchi mbalimbali kuzungumza Kiswahili na kulipwa kwa kufanya hivyo. Unachofanya ni kuwasiliana na wageni wanaotaka kujifunza Kiswahili, kuwasaidia kurekebisha maneno na sentensi zao, na kuwafundisha matumizi sahihi ya lugha katika mazungumzo ya kila siku. Fundisha Kiswahili โข Chat na Wageni โข Pata Malipo